Repository logo
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
    Communities & Collections
    All of DSpace
  • English
  • Català
  • ÄŒeÅ¡tina
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • LatvieÅ¡u
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Mgallu, Amina"

Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Mfungamano wa methali na shughuli za kiuchumi katika jamii ya wazigua
    (University of Dar es Salaam,, 2012) Mgallu, Amina
    Japokuwa methali ni kipera kimojawapo kati ya vipera kadhaa vya fasihi simulizi kinachotumika katika maisha ya kila siku katika jamii, bado nafasi ya methali katika kuielewa mandhari na mazingira ya jamii inayotumia methali hizo haijatambuliwa na haijafanyiwa uchunguzi wa kina. Ili kubaini mfungamano wa methali na mazingira zinamotumiwa methali hizo, Tasinifu hii imejikita katika kutaflti juu ya mfungamano wa Methali na shughuli za kiuchumi katika jamii ya Wazigua. Methali zilizotumika katika utafiti huu zimetoka wilaya ya Handeni, mkoani Tanga. Malengo ya utafiti huu ni kutambulisha maana zinazopatikana katika methali za Kizigua, kubainisha shughuli za kiuchumi za Wazigua zinazojitokeza kupitia maana za methali hizo na kutathimini mfungamano uliopo baina ya shughuli hizo za kiuchumi na methali za jamii ya Wazigua. Kwa kutumia mbinu na nyenzo kadhaa katika kukusanya na kuchambua data kama vile kompyuta, kinasa sauti, kinyonyi, kalamu na shajara, malengo hayo yamefikiwa na kukidhi haja ya utafiti. Vilevile utafiti ulitumia mbinu za uwandani kama vile mahojiano na ushiriki, pia mbinu ya maktabani ambayo ni uchambuzi matini. Mbali na mbinu hizi mtafiti aliongozwa na nadharia ya Sosholojia kwa kuzingatia mwelekeo wa Rondon (1968) na kwa kutumia mkabala wa kitaamuli au mkabala wa maelezo katika kubaini mfungamano wa methali na shughuli za kiuchumi katika jamii ya Wazigua. Kutokana na utafiti huu, imebainika kuwa methali za Kizigua zinayasawiri mazingira ya jamii hii ya Kizigua.

About Library

The University of Dar es Salaam Library is a vital source of scholarly information that facilitates users to get access to learning and research resources during their studies. It provides access to a wide range of resources in both print and digital formats and conducive reading environment for users, regardless of their physical conditions. All registered users are eligible to access library resources and can borrow print materials from general shelves for a specific period of time.

Useful Links

Koha Staff Login

University Research Repository

WebMail

Aris

Book Study Room

Mara Oral History

Hansard

SOCIAL MEDIA

Instagram

Facebook

Twitter

YouTube

WhatsApp

Ask Librarian

Contact Us

Postal Address
P.O.Box 35092
Dar es Salaam

Call Us: +255 22 2410500/9 Ext. 2165 ; Direct line +255 22 2410241

Fax No:: +255 22 2410241

Email:: directorlibrary@udsm.ac.tz

2025 University of Dar es Salaam - University Of Dar Es Salaam Library
Term of use / Privacy Policy