Browsing by Author "Mandao, Martha"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Peke yangu mjini(Central Tanganyika Press, 1972) Mandao, MarthaNi hadithi inayomuangazia Ani (msichana) alikuwa katika jiji kubwa la Dar es salaam kuanza kazi kwa mara ya kwanza katika maisha yake. Mbali kutoka katika maisha yake ya kijijini,Mbali na wazazi wake,Jamaa zake,Walimu wake na sasa yupo mjini mahali ambapo anaona kila kitu ni tofauti kubwa.Mara tu alipofika alikuwa na matazamio makubwa juu ya maisha katika jiji lile kubwa akitazamia kuwa msichana wa kupata kila kitu kwa hali ya juu zaidi na kuona vitu vipya ambavyo katika kijiji chake hangeweza kuvipata.