Browsing by Author "Lema, Edda Israel"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Mofosintaksia ya vitenzi vya kimashami kanuni za mwambatano wa ofimu nyambulisha kanuni za mwambatano wa mofimu nyambulishi(University of Dar es Salaam, 2011) Lema, Edda IsraelUtatiti huu ulichunguza Mofosintaksia ya Vitenzi vya Lugha ya Kimashami kwa malengo ya kuhainisha Kanuni za Mwambatano wa Mofimu Nyambulishi aidha utafiti ulihusika kuhaini namna ya utokeaji wa maumbo ya mofimu nyambulishi katika ntlizi wa kitenzi. Utatiti ulidhihirisha kanuni zinazoruhusiwa na kanuni zuizi katika lugha ya Kimashami. Kazi hii inafungamanishwa na Nadharia ya Mofolojia Leksika (ML) ya Kiparsky (1982). Nadharia ya ML inadai kuwa uundaji wa maneno katika lugha hutetzemea kanuni za mwamhatano wa mofimu za lugha husika. Aidha, utafiti ulitumia kanuni tatu miongoni mwa kanuni kadhaa za nadharia ya ML: Kanuni za mzunguko kamili, kaida ya mfuto mabano na hifadhi miundo. Data za utafiti huu ziliteuliwa kutoka kwa wazungumzaji wazawa, Kamusi ya Kimashami-Kiswahili-Kiingereza na vitabu mbalimbali vya Kimashami. Utatiti uligawanyika katika sura tano, sura ya kwanza, ilizungumzia utangulizi jumla wa utafiti. Sura ya pill, ilichambua na kuchanganua mapitio na maadishi .anawhusu sifa za mofimu nyambulishi katika lugha za kiulimwenegu, Kibantu na hatimae kuhainisha umuhimu wa utafiti katika lugha ya Kimashami. Sura ya tatu, ilihusu mbinu zilizotumika katika ukusanyaji na uchambuzi wa data. Katika sura va nne, uchambuzi na ufasiri wa data sanjari na utumizi wa nadharia ya ML viliainisha kanuni za mwarnbatano wa mofimu nyambulishi katika vitenzi vya Kimashami hatimaye sura ya tano, ilihitimisha na kutoa mapendekezo ya maoni yatakayotumika kama msingi na kichocheo cha tafiti za baadaye katika lugha ya Kiamashami na lughanyingine za kiasili