UDSM Library Repository

Tanzania Newspapers Articles Database

Tanzania Newspapers Articles Database

 

Collections in this community

 • Newspaper articles covering economic aspects including mining, industry, resources, energy etc.
 • Newspaper articles covering issues about politics and government
 • Newspaper articles covering social issues such as health, education, social life, culture etc.

Recent Submissions

 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2002-04-16)
  In the year between 2002 and 2003 different government organization went under privatization. In 2003 Tanesco workers together resolved to stick to their guns to prevent the South African company, Net Group Solution from ...
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2000-12-02)
  Different newspapers wrote on disasters occurred in the country between 2000 and 2001. One of them is the Mwanza floods in which heavy rains pound in the city killing 24 and on the same case ten bodies were seen floating ...
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2005-12-19)
  Magazeti mbalimbali yaliyoandikia mchakato mzima wa uchaguzi na matokeo mwaka 2005. Katika kampeni zake Kikwete alihaidi kupiga vita umasikini . Rais Kikwete alishinda uchaguzi kati ya wagombea 10 kutoka vyama vya siasa ...
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2004-02-06)
  In 2004 curriculum IT studies was proposed to be introduced in all schools an in 2006 ICT was proposed to be part of secondary school curricula and the government was advised to set one curriculum for all institutions ...
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2005-11-30)
  Chama Cha Wananchi (CUF) kilinyakua majimbo yote 18 ya uchaguzi yaliyopo kisiwani Pemba wakati Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kilipata ushindi katika kisiwa cha Unguja.
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2010-09-19)
  Kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010 mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete alihaidi kuinua hadhi ya hospitali saba nchini na kuzifanya za rufani na zile za rufani kupandishwa kuwa hospitali maalumu ...
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2010-10-05)
  Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 Zanzibar wagombea 19 wa vyama vya siasa hawakurejesha form zao za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika majimbo ya wilaya kisiwani Unguja.
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2010-12-26)
  Yasemavyo magazeti kuhusu maoni mbalimbali ya marekebisho ya katiba mpya.
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2005-07-18)
  Yasemavyo magazeti kuhusu mchakato wa kampeni na matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 5. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 walipatikana wagombea wa urais kumi kati ya wagombea 13 wa vyama tofauti akiwemo mwanamama mmoja Anna Senkero ...
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2008-02-09)
  Magazeti mbalimbali yaongelea juu ya mawaziri wa Taganyika mwaka 1961-2006 chini ya Waziri mkuu Bw. Julius Kambarage Nyerere ambapo watanganyika waliamini maisha yao kua salama mikononi mwa mawaziri wao.
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2007-02-16)
  Different news papers wrote about tourism industry in Tanzania. In Tanzania, tourism is among one of the World fastest growing. It is one among the aspects of the National economy growth.
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2003-10-14)
  Katika kumbukizi za kifo cha baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere alifariki 14.10.1999 katika hospitali ya Saint Thomas, London, Uingereza, mashirika mbalimbali, taasisi binafsi na serikali pamoja na Watanzania wote wanaendelea ...
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2002-06-24)
  Magazeti mbalimbali yaliandika juu ya ajali ya treni ya abiria ya reli ya kati iliyoua zaidi ya watu 100 (mia moja). Treni hiyo ilikua ikitokea jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza na Kigoma na kupata ajali kati ya kijiji ...
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2006-01-24)
  Katika uongozi wa awamu ya nne, majambazi waliijaribu na kuitikisa serikali ya Kikwete kwa uporaji na mauaji mbalimbali. Miongoni mwa majambazi hao, walikuwemo vigogo wa jeshi la polisi wakiwemo makamanda wa polisi wa mikoa ...
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 1977-08-05)
  Rais Nyerere alisema kuvunjika kwa Jumuiya ya Africa Mashariki lilikua ni pigo kubwa kwa watanzanikwa sababu kunarudisha nyuma juhudi za ukombozi.
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2001-01-18)
  Magazeti mbalimbali yaliandika juu ya maadamano ya Chama Cha Wananchi CUF. Chama cha CUF kiliandaa maadamano ya amani yaliopangwa kufanyika kote nchini January 27 kabla ya kumalizika kwa muda wa siku 90 ambazo chama kilitaka ...
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2001-04-30)
  Mapigano yaliyotokea katika machimbo ya merereni na kusababisha kifo cha mchimbaji mdogo yalipelekea viongozi wa serikali (CCM) pamoja na wamiliki kuhojiwa na police. Katika tukio lingine la sakata la boaboa Ubungo na ...
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2000-12-02)
  Different newspapers wrote on disasters occurred in the country between 2000 and 2001. One of them is the Mwanza floods in which heavy rains pound in the city killing 24 and on the same case ten bodies were seen floating ...
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2010-01-01)
  Waziri mkuu na makamu wa pili wa Rais mstaafu, mzee Rashid Mfaume kawawa alifariki dunia katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikolazwa baada ya afya yake kubadirika ghafla. Mzee Kawawa alikua miongoni mwa wanasiasa na ...
 • Unknown author (University of Dar es Salaam, 2001-01-26)
  Tume iliyoundwa chini ya Rais Benjamin Mkapa kufanya uchungunzi kuhusu chanzo, matukio na athari za matukio ya tarehe 26 na 27 January 2001 ilibaini ya kwamba maandamano yalifanyika kabla ya tarehe hizo husika. Katika ...

View more