UDSM Library Repository

Browsing Institute of Kiswahili Studies by Issue Date

Browsing Institute of Kiswahili Studies by Issue Date

Sort by: Order: Results:

 • Moshi, Lioba (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, 1976)
  Madhumuni ya tasnifu hii ni kujaribu kulinganisha lugha mbili za Kibantu:- Kivunjo lugha ya kuzaliwa na Kiswahili lugha ya pili. Katika lugha hizi mbili, uchunguzi wake bado ni duni sana, kwa hiyo mengi yatakayojitokeza ...
 • Massamba, David Phineas Bhukanda (University of Dar es Salaam, 1977)
  In this work a comparative study of Ruri, Jita and Kwaya “languages” of the eastern shores of Lake Nyanza, in Musoma District, has been made. The aim is to try to establish whether these so-called “languages” are really ...
 • Balisidya, May L.Y. (University of Dar es Salaam, 1977)
  Tasnifu hii ina 1engo la kuonyesha kuwa. ingawaje fasihl simulizi hutumiwa na jamii kisanaa kujieleza na hivyo kuielekeza na kuiendesha, hujengwa, na ni zao la jamii hiyo na mabadiliko yake. kwa hivi hutokea kuwa Itabadilika ...
 • Mcha, Yohana (University of Dar es Salaam, 1979)
  This study is an attempt at characterising the LOCATIVE category in Kivunjo language. The work is in two parts. Part one describes the semantic features associated with the concept of place and examines how these senses ...
 • Kiango, Saifu David (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, 1979)
  Thanifu hii itojadili mabadiliko ya dhamira katika tamthilia za Kiswahili kati ya 1957 na 1975 kwa kutumia mtindo wa uchambuzi wa nadharia ya kihadhira. Mazigowanya dhamira za tamthiria hizo katika mafungu mawili. La kwanza ...
 • Besha, Ruth Mfumbwa (University of Dar es Salaam, 1985)
  TENSE and ASPECT as grammatical categories have long been the subject of theoretical and emprical studies by linguists, anthropologists and philosophers. The present study which investigates the manifestation of Tense and ...
 • Mshindo, H. B. (University of Dar es Salaam, 1988)
  Much has been done on Swahili structure. The present work is a further contribution to earlier efforts. In this work, we attempt to study the uses of the morpheme ka in Pemba Swahili variety using the Hallidayan theoretical ...
 • Mgullu, Richard S (University of Dar es Salaam, 1990)
  This study is an attempt to make a precise structural analysis of Kiswahili sentences within the paradigm of Transformational Generative Theory. Chapter one is an introduction to this study. It includes, among other things, ...
 • Maganga, Clement (University of Dar es Salaam, 1991)
  This study investigates whether identical morphemes undergo similar or different phonological processes at identical morpheme boundaries in four Kiswahili dialects, namely, Standard Kiswahili, Kipemba, Kitumbatu and ...
 • Kimura, Eiko (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, 1991)
  Riwaya ya upelelezi ni fani ya fasihi ambayo imetokea kuenea na kupendwa sana duniani. Riwaya hiyo ilianzia ulaya na marekani katika karne ya 19, na ilifika Africa katikati ya karne hii. Riwaya ya kwanza ya upelelezi katika ...
 • Kihore, Y. M (University of Dar es Salaam, 1994)
  This study is an investigation of various syntactic aspects of the verbal category formation phenomenon in Kiswahili, a Bantu language. This phenomenon involves a constellation of various morphological elements appearing ...
 • Senkoro, Fikeni Eliesikia Mwalili Kiondo (University of Dar es Salaam, 1997)
  This thesis attempts to decode the journey in the Zanzibar folk tale in order to reveal its structural, psychological and, to some extent, ideological significance. The main part of the thesis takes off by making an analysis ...
 • Adachi, Fumiko (University of Dar es Salaam, 2006)
  Kiburi hujitokeza kwa ajili ya unyonge . hili ni dai la mwanasaikolojia A. aldler. Kutokana na wazo lake, ni kwamba kila mtu akiwa na hisia ya unyonge, anajaribu kupambana na kuishinda hali hiyo. Lakini hisia ya unyonge ...
 • Mwita, Mahiri (University of Dar es Salaam, 2010)
  In the beginning of the 21st century, HIV-AIDS prevention programs declared that ‘almost everyone in Kenya knows about AIDS and how deadly it is’. However, emerging statistics continued to report rising rates of infection, ...
 • Lei, Zhao (University of Dar es Salaam, 2010)
  Methali ni kazi mojawapo ya fasihi simulizi ambayo inatumia maneno machache, kimafumbo au kwa kupigia mifano ili kuelezea maadili na uzoefu wa shughuli mbalimbali ambazo zinaitambulisha jamii fulani. Kazi hii inachunguza ...
 • Hamisi, Amani (University of Dar es Salaam, 2010)
  This study addresses the influence of Kiswahili in Chimalaba through lexical and structural borrowing. It seeks to investigate and identify lexical and structural items borrowed from Kiswahili into Chimalaba, to discover ...
 • Buberwa, Adventina (University of Dar es Slaam, 2010)
  This dissertation reports on the design and findings of a qualitative study of the sociolinguistic factors behind the adoption of place names in the Ruhamba dialect of Ruhaya, a language spoken in north-western Tanzania. ...
 • Chengula, Monica Mahua (University of Dar es Salaam, 2010)
  This study investigated the effects of training and counseling of children from worst forms of child labour, a case study of CHODAWU centres in Dar-es-Salaam-Tanzania. The main objective of the study was to investigate how ...
 • Gawasike, Arnold (University of Dar es Salaam, 2011)
  Suala la unyambulishaji na mfuatano wa mofimu nyambulishi limewavuta wataalamu wengi. Hata hivyo, hakuna utafiti ambao umefanyika katika lugha ya Kikinga. Kwa hiyo utafiti huu ulikuwa jaribio la kuchunguza unyambulishaji ...
 • Sungi, Neema Aron (University of Dar es Salaam, 2011)
  Kumekuwa na madai mbalimbali ya wanazuoni waliobainisha ruwaza ya shujaa wa utendi; walihitimisha kuwa shujaa hutoka tabaka la juu, kuzaliwa kwa shujaa sharti kuambatane na utabiri na majaabu, shujaa lazima aondoke kwenda ...

Search item


Browse

My Account