Kona ya Kiswahili

Recent Submissions

 • Institute of Adult Education University of Dar es Salaam (East African Literature Bureau, 1971)
  Mfululizo wa vitabu vya Juhudi ni matokeo ya Juhudi ya Chuo cha Elimu ya watu wazima,Chuo kikuu,Dar es Salaam.Katika Shabaha ya kuelimisha watu wazima ili kumvuta mtu mzima vimeandikwa kwa muundo wa hadithi,mazungumzo na ...
 • Kiimbila, J. K. (Tanzania Longmans, 1966)
  Hadithi hii inathibitisha ukweli wa methali "LILA NA FILA HAVITENGAMANI.INAONYESHA WAZI ukweliwa usemi wa mtaalamu William Shakespeare kwamba "MAOVU WAYATENDAO WANADAMU HUDUMU NAO HATA WAKISHAKUFA" wanadamu mara nyingi ...
 • Omolo, Leo Odera (Kenya Longmans, 1968)
  Hamisi alipowasili Kisumu mjini alikuwa kijana maskini hohe hahe,hana nguo wala kazi. Baada ya mda si mrefu mambo yalimgeukia hamisi hivi sasa ni tajiri mkubwa mjini kisumu. Utajiri wa hamisi haukutokana na uhalifu wala ...
 • Mtindi, Anne (East African Publishing House, 1968)
  Jua na upepo ni mkusanyiko wa hadithi mbali mbali zenye maudhui tofauti ikiwemo mke mvivu,Msichana mtundu,Taabu za wanyama na Mistari ya pundamilia. Msomaji utajifunza mengi kuhusiana na hadithi hizi.
 • Chiume, M. W. K. (Tanzania Publishing House, 1969)
  Dunia ngumu ni hadithi inayoelezea kuhusiana na maisha,mambo yote yaliyoelezwa si mambo yaliyotendeka kweli. halikadhalika majina ya watu ,nchi hata kama yanafanana na watu wa nchi husika hawahusiani na watu wa nchi ...
 • Mushi, J.S (Tanzania Publishing House Ltd., 1969)
  Mtenda mema hulipwa mema,ndivyo wazee walivyosema.na baada ya dhiki faraja,Tulia shida zinapokuja.Kwani shida nyingi zikiingia ndipo furaha kubwa yakaribia
 • Mwasi 
  Zaidi, N (Heinemann, 1972)
  Kijiji cha pachanga kilikuwa kimelogwa na madhehebu ya watu walioamini pepo. hili ilifanyika kwa kuiabudu miungu ya mito na ardhi.Miungu hii iliaminiwa kuongoza maisha ulimwenguni na sudi za maisha ya wanadamu.Hata ajabu ...
 • Makungu, Hamidi Vuai (Zanzibar publishers, 1970)
  Siku moja katika siku saba zinazojirudia zizo kwa zizo katika maisha yetu,Shungi baada ya kufikiri hali ya udhaifu wa maisha yake hasa kwa vile hakusoma na bahati yake ya kukosa kazi, kila alikotoka maofisini,viwandani ...
 • Mandao, Martha (Central Tanganyika Press, 1972)
  Ni hadithi inayomuangazia Ani (msichana) alikuwa katika jiji kubwa la Dar es salaam kuanza kazi kwa mara ya kwanza katika maisha yake. Mbali kutoka katika maisha yake ya kijijini,Mbali na wazazi wake,Jamaa zake,Walimu wake ...
 • Omolo, Leo Odera (East African Publishing House, 1972)
  Ni hadithi za kikwetu zenye mkusanyiko wa masimulizi mbalimbali ikiwemo hadithi :- mfalme na waganga, njaa na maafa,shujaa na majitu,binti malidadi na waganga na maafa
 • SEMGHANGA, FRANCIS H. J. (University of Dar es salaam, 1972)
  katika utenzi huu unaelezea zamani wakati tukiwa tumekabwa na mikatale ya ukoloni lingekuwa jambo lisilowezekana kwa mtu mdogo hivi kujaribu kingia katika mstari wa waandishi. siku hizi mikatale imefunguliwa na kila mwananchi ...
 • Robert, Shaaban (Oxford University Press, 1969)
  Kwa asili shairi hili liliandikwa na Francois Marie Arouet de Voltaire aliyeishi zamani za 1694-1778, Karne mbili na nusu zilizopita. Huyu ni mmoja wa walimu wakuu na mwandishi bora kabisa wa kifaransa.Kwa tafsiri ya ...
 • Abdallah, Hemed (East African Literature Bureau, 1965)
  Ni utenzi wa historia ya hussein bin Ali
 • Carroll, Lewis (Sheldon Press, 1940)
  Elisi katika nchi ya ajabu ni mfululizo wa hadithi mbalimbali , hii ni hadithi inayomuelezea mzungu aliyewapenda watoto na kuwasimulia habari tamu sana za ndoto ikiwemo habari za mtoto yule katika nchi ya ajabu.
 • mnyapala, E. Mathias (ndanda mission press, 1962)
  utenzi huu ni maneno yaliandikwa kutokana na enjili nne-enjili ya mateo, marko,luka na yoane. enjili zote hizo nne ndizo zilizoshika imani ya kila mkristu wa madhehebu yyote ile iliyomo ulimwenguni humu
 • Wuga, Gleiss (Evangelishe Mission, 1913)
  Doctor Ludwig Krapf ni hadithi inayosimulia maisha ya mmisionari wa kwanza wa ost afrika, Zamani mwa miaka ya 1822 kule ulaya katika nchi ya Dachi. Palikua na watu waliovuna ngano na miundu yao. Jua likiwa kali wakaona kiu ...
 • Robert, Shaaban (Mkuki na Nyota, 1967)
  KUFIKIRIKA ni nchi moja kubwa katika nchi za dunia,Kaskazini imepakana na Nchi za Anasa,Kusini nchi ya majaribu,Mashariki Bahari ya kufaulu na magharibi safu ya milima ya jitihadi.Ramani ya nchi hiyo ni adimu kupatikana ...
 • Akwisombe, Jacob B. (Tanzania Publishing House, 1972)
  ''Jero si kitu ni hadithi inayoelezea juu ya maisha ya Afisa mmoja wa kilimo ambaye aliamini kwamba ingawaje madaraka yake yalimtaka aishi mjini na kufanya kazi katika makao makuu ya wizara, aliweza kuwa manufaa zaidi kwa ...
 • Michuki, David N. (East African Publishing House, 1969)
  Kwa vile lugha ya kiswahili ilivyoenea siku hizi na kutumiwa na Waafrika wasiofundishwa lugha hiyo na mama zao, si ajabu tukiona Waafrika wakiachana na kanuni zilizopo za utungaji wa mashairi na kutunga wanavyotaka wenyewe. ...
 • Mdoe, Fred Jim (East african publishing house, 1969)
  Hila za mzee kobe ni mjumuiko wa hadithi za kikwetu 4, Zenye maudhui mbali mbali ikiwemo; kiwavi fedhuli,Kisa cha gumbo, mfalme na mhunzi

View more